visualizza o scarica il pdf - ca 938.59 KB
Visite: 1498
Katika kitabu hicho, padri Mario Sciamanna, Missionario Xaveriano, alitimiza maagizo ya Mt. Papa Paulo ya sita, alipomwambia Mgr Catarzi, askofu wa Uvira, ya kwamba wakristu wanaitwa kuandika historia ya Faccin, Carrara, Didonè na Joubert kwani ni mashaidi wa imani wa Congo. Sciamanna anawaheshimu waliouawa pa Baraka na Fizi, tarehe 28 novemba1964 na kutusaidia kuwafahamu vizuri zaidi.